MWENYEKITI KANISA SDA JIMBO LA KUSINI MWA TANZANIA MCH.MARK WALWA MALEKANA ATOA WITO KWA VIJANA KUFANYA KAZI KWA BIDII NA KUACHA UTEGEMEZI KWA WAZAZI

Na Barnabas Kisengi-Dodoma  Mwenyekiti kanisa la Waadventista Wasabato jimbo la kusini Mwa Tanzania Mch. Mark Walwa  Malekana  ametoa wito kwa vijana kuwa na mpango mkakati wa  wa kufanya kazi  kwa bidii ili kujikwamua kiuchumi na kuachana na dhana ya utegemezi kutoka kwa wazazi. Mchungaji Malekana amebainisha hayo  leo Juni,12,2021 katika mwendelezo wa mkutano wa shangwe